TVZ :: Vipindi Mbali Mbali
- Utaratibu wa Vipi Wiki Hii.
Ukurasa huu bado upo katika matengenezo tafadhali rudi tena baadae
- Zanzibar Wiki Hii.
The government yesterday (11 Aug 2010) said the amendments in Zanzibar’s constitution have not in any way violated the Union Constitution. Speaking in separate interviews in Dar es Salam yesterday, the minister for Justice and Constitutional Affairs, Mr Mathias Chikawe, and deputy Attorney General George Masaju allayed fears that the Union was under threat.“Those who say the amendments have violated the Union Constitution should read the 1984 Zanzibar Constitution. What has been done is consolidation of sections one and two of the Zanzibar constitution so as to emphasize the Isles’ position in the United Republic of Tanzania,” Chikawe said adding that Zanzibar was still part of the United Republic.
- Watoto Wetu.
Ukurasa huu bado upo katika matengenezo tafadhali rudi tena baadae
- Vipindi vya Dini.
Ukurasa huu bado upo katika matengenezo tafadhali rudi tena baadae
- Habari za Uchaguzi.
Ukurasa huu bado upo katika matengenezo tafadhali rudi tena baadae
- Kutoka Baraza la Wawakilishi.
Ukurasa huu bado upo katika matengenezo tafadhali rudi tena baadae
TVZ :: Habari za Uchaguzi
TVZ :: Kutoka Katika Majukwaa ya Siasa
CCM Yaorodhesha Safu ya Wagombea Wake Katika Uchaguzi Mkuu Ujao - 16 Aug 2010.
Nafasi za Ubunge
Kaskazini Pemba Salum Nafoo Omar (Konde), Mselem Rashid Mselem (Mgogoni), Khamis Juma Omar (Micheweni) Rashid Abdalla Khamis (Tumbe), Ali Rashid Ali (Wete), Khamis Seif Ali (Mtambwe), Hafidh Said Mohamed (Kojani), Masoud Alli Mohamed (Ole), Haji Faki Juma Gando).
Kaskazini Unguja Ali Juma Haji (Chaani), Kheir Khati Ameir (Matemwe), Jaddy Simai Jaddy (Mkwajuni), Ame Pandu Ame (Nungwi), Juma Othman Ali (Tumbatu), Ramadhani Haji Salehe (Bumbwini ), Sadia Juma Khamis (Donge), Balozi Seif Ali Idd (Kitope).
Kusini Pemba Hamad Bakar Ali (Chake Chake), Issa Ali Juma (Chonga), Daudi Khamis Juma (Wawi), Juma Ali Juma (Ziwani), Issa Mohamed Salum (Mkoani), Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (Mkanyageni), Mohamed Abrahman Mwinyi (Chambani), Yakoub Mohamed Shika (Mtambile),
Kusini Unguja Samia Suluhu Hassan (Makunduchi), Mahadhi Juma Maalim (Muyuni), Amina Andrew Clement (Koani), Muhammad Seif Khatib (Uzini), Yahya Kassim Issa (Chwaka).
Mjini Magharibi Ussi Ame Pandu (Mtoni), Nasib Suleiman Omar (Mfenesini), Waride Bakari Jabu (Kiembe Samaki), Sylvester Massele Mabumba (Dole), Issa Abeid Mussa (Magogoni), Juma Sururu Juma (Bububu), Abdalla Sheria Ame (Dimani), Haji Juma Sereweji (Mwanakwerekwe), Said Mussa Zuberi (Fuoni). Wengine
ni Perera Ame Silima (Chumbuni), Dk. Hussei Ali Mwinyi (Kwahani), Salum Hassan Abdalla Turkey (Mpendae), Nassor Juma Mugheiry (Mji Mkongwe), Mohamed Amour Chombo (Magomeni), Hamad Yussuf Masauni (Kikwajuni), Kheir Ali Khamis (Kwamtipura), Mussa Hassan Musa (Amani), Abdallah Juma Abdalla (Rahaleo) na Hussein Musa Mzee (Jang’ombe).
Walioteuliwa kugombea uwakilishi katika Baraza la Wawakilishi ni wafuatao;
Kaskazini Pemba Ramadhan Omar Ahmed (Konde), Ismail Amour Ismail (Mgogoni), Chumu Kombo Khamis (Micheweni), Amour Khamis Mbarouk (Tumbe), Siasa Khamis Meleki (Wete), Mauwa Mbarouk Saidi (Mtambwe), Makame Said Juma (Kojani), Badria Ramadhan Mohamed (Ole), Suleiman Khamis Makame (Gando).
Kaskazini Unguja Usi Jecha Simai (Chaani), Abdi Mossi Kombo (Matemwe), Mbarouk Wadi Mussa (Mkwajuni), Mussa Ame Silima (Nungwi), Khaji Omar Kheri (Tumbatu), Mlinda Mbarouk Jumba (Bumbwini), Ali Juma Shamhuna (Donge), Makame Mshimba Mbarouk (Kitope).
Kusini Pemba Suleiman Sarhan Said (Chake Chake), Omar Khamis Juma (Chonga), Hamad Abdallah Rashin (Wawi), Mohamed Kombo Juma (Ziwani), Suleiman Mohamed Haji (Mkoani), Masoud Mohamed Abdalla (Mkanyageni), Bahati Khamis Kombo (Chambani), Mohamed Mgaza Jecha (Mtambile) na Mussa Foum Musa (Kiwani).
Kusini Unguja Haroun Ali Suleiman (Makunduchi), Jaku Hashim Ayoub (Muyuni), Mussa Ali Hassan (Koani), Mussa Khamis Silima (Uzini), Issa Haji Usi (Chwaka),
Mjini Magharibi Ali Abdallah Ali (Mfenesini), Khamis Jabir Makame (Mtoni), Mansoor Yussuf Himid (Kiembe Samaki), Shawana Bukheti Hassan (Dole), Asha Mohamed Hilali (Magogoni), Salum Amour Mtondoo (Bububu), Mwinyihaji Makame Mwadini (Dimani), Shamsi Vuai Nahodha (Mwanakwerekwe), Thuwayba Kisasi (Fuoni), Machano Othman Saidi (Chumbani), Ali Salum Haji (Kwahani), Mohamed Sais Dimwa (Mpendae), Simai Mohamed Said (Mkongwe), Salmin Awadh Salmin (Magomeni), Mahmoud Mohamed Mussa (Kikwajuni), Hamza Hassan Juma (Kwa Mtipura) Fatma Mbarouk Said (Amani), Nassoro Salum Ali (Rahaleo), Suleiman Othman Nyanga (Jang’ombe).
Kwa upande wa UWT walioteulwia nafasi 100 za Ubunge wa viti maalumu ni kwama ifuatavyo:
Faida Mohamed Bakari na Mwanakhamis Kassim Said (Kusini Pemba), Kidawa Hamid Saleh na Bahati Ali Abeid (Kaskazini Unguja). Maida Hamad Abdalla na Dk. Maua Abeid Daftari (Kaskazini Pemba), Aisha Mashimba Jecha na Kiumbwa Makame Mbaraka (Kusini Unguja), Fakharia Shomari Khamis na Asha Abdalla Juma (Mjini Magharibi).
Kundi la Vijana Tauhida Galos Cassian na Asha Mohamed Omar. Wengine ni Wanu Hafidhi Ameir na Viwe Khamis Abdallah.
Wengine ni Asha Juma Khamis, Riziki Khamis Pembe, Nadra Gulam Rashid.
Kundi la Wafanyakazi Rabia Abdallah Hamid.
Kundi la Wanawake Nafasi 18 - Ubunge Mwaka Abdurahamani Ramadhani, Zulfa Said, Asha Baraka, Aziza Ally, Mwantum Haji, Fatuma Toufiq. Wengine ni Fatuma Mohamed, na Raya Ali.
Kundi la Wanawake Nafasi 20 - Uwakilishi Asha Bakari Makame, Amina Iddi Mabrouk (Mjini Magharibi), Shadya Mohamed Suleiman (Kusini Pemba), Salma Mussa Bilali (Kusini Unguja), Bihindi Hamadi Khamis (Kaskazini Pemba) na Panya Ali Abdallah (Kaskazini Unguja). Wengtine
Mwanaidi Kassim Musa (Mjini Magharibi), Zainab Omar Mohamed (Kusini Pemba), Mwanajuma Kassim Makame (Kaskazini Unguja), Nashinde Hija Abdallah (Kusini Unguja) na Sharifa Humuod Rashid (Kaskazini Pemba).
Kundi la Vyuo Vikuu Ni Mgeni Hassan Juma na Sabaha Salehe Ali. Na Kundi la Walemavu Ni Raya Suleimani Hamadi na na Mwantatu Mbarak Khamis.
Mgombea Urais Zanzibar Kupitia Chama cha CUF Kuchukua Form Leo - 16 Aug 2010.
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, leo anachukua fomu za kuwania nafasi hiyo, ikiwa ni mara yake ya nne kuwania nafasi hiyo. Maalim Seif aligombea urais mwaka 1995, 2000 na 2005, lakini mara zote alishindwa katika matikeo yaliyojaa utata.
Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano ya Umma, Salum Bimani, alisema Maalim Seif ataondoka nyumbani kwake saa 4:30 asubuhi na kusindikizwa na maandamano yatakayojumuisha msafara ya pikipiki na ngoma ya dufu. Bimani alisema msafara huo utapita katika mitaa ya Mtoni, Amani, Mkunguni, Biziredi, Kariakoo, Michenzani, Mkunazini na kunyoosha hadi mtaa wa Maisara, makao makuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Wanaowania Urais Zanzibar Waongezeka
IDADI ya wagombea urais wa Zanzibar imeongezeka na kufikia sita baada ya Chama cha Sauti ya Umma kupitisha jina la mgombea, Mussa Haji Kitole, kuwania nafasi hiyo. Kitole anaungana na wagombea wengine, Dk. Ali Mohamed Shein, wa (CCM), Maalim Seif Sharif Hamad wa (CUF), Juma Ali Khatib wa (TADEA), Haji Ambar Khamis wa NCCR Mageuzi, na Jamila Abeid, mwanamke pekee katika kinyang’anyiro hicho kutoka Chama cha Jahazi Asilia.
Aidha, Jecha, alisema mgombea wa CCM, Dk. Ali Mohammed Shein, atachukua fomu hiyo Agosti 18, wakati mgombea wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, atachukua fomu hiyo kesho Jumatatu saa 5:00 asubuhi na baadaye kufanya mazungumzo na waandishi wa habari mjini Zanzibar.
Wagombea waliokwisha kuchukua fomu kutoka Tume ya Uchaguzi ni Juma Ali Khatib wa TADEA na Ambar Khamis wa NCCR - Mageuzi.
Mwenyekiti wa ZEC, Khatib Mwinyichande, aliwataka wagombea wote wawe wamerejesha fomu hizo ifikapo Agosti 30, pamoja na dhamana ya shilingi milioni mbili. Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharrif Hamad, anagombea nafasi hiyo kwa mara ya nne na anapewa nafasi kubwa kushiriki katika serikali hata kama ataanguka,
kutokana na Baraza la Wawakilishi kupitisha marekebisho ya 10 ya Katiba ya Zanzibar yanayoruhusu serikali ya umoja wa kitaifa.
Kura ya maoni ni ushindi wa Wazanzibari - Karume
“…uamuzi wa wengi umeshafanywa na kauli ya wachache imesikika. Nawashukuru na kuwapongeza wale wachache waliokataa mfumo huo kwa kutumia haki yao ya demokrasia na kutoa uamuzi wao.
“Matokeo ya kura hiyo yameshatolewa rasmi na nina wingi wa furaha kuwa kura ya NDIYO imechukua nafasi ya juu ikiwa ni asilimia 66.4, karibuni thuluthi mbili ya kura zote zilizopigwa. Nawashukuru na kuwapongeza sana wananchi wote waliochukua uamuzi wa kupiga kura ya NDIYO,” hayo ndiyo yaliyokuwa maneno ya awali ya Rais wa Zanzibar, Amani Karume, baada ya kumalizika kwa kura ya maoni iliyopigwa kuamua Zanzibar ifuate mfumo wa Serikali ya umoja wa kitaifa baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 31 mwaka huu.
Alisema washindi ni wananchi wenyewe kutaka kukuza umoja, demokrasia, utawala bora, amani na maendeleo kwa pamoja akisistiza kuwa “huo ndio msingi hasa wa Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 12, 1964”.
Majimbo yaliyokataa ni Amani (Ndiyo-2,601; Hapana-2,622), Chaani (Ndiyo-1,854; Hapana-3,264), Chwaka (Ndiyo- 2,243; Hapana- 3,887), Donge (Ndiyo-1,296; Hapana-3,234), Kitope (Ndiyo-1,843; Hapana-2,738), Uzini (Ndiyo- 1,437; Hapana- 4,235), Makunduchi (Ndiyo- 1,383; Hapana- 4,961), Muyuni (Ndiyo- 1,542; Hapana- 4,503), Dole (Ndiyo- 2,429; Hapana- 2,527), Kwahani (Ndiyo-1,797; Hapana-2, 709).